Karibu USCF CCT TAKWIMU!
Sisi ni jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu tuliounganishwa katika imani, ushirika, na huduma kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Katika USCF Takwimu, tunajenga msingi imara wa kiroho , tunahimizana katika safari ya imani na tunakuwa mashahidi wa nuru ya Kristo chuoni na katika jamii pia.
+Motto: "We serve the living God."
Aya ya Leo
MAKANISA YANAYOUNDA CCT
1. Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT)
2. Anglican Church Tanzania (ACT)
3. Moravian Church of Tanzania (MCT)
4. Africa Inland Church Tanzania (AICT)
5. Mennonite Church in Tanzania (MCT)
6. Baptist Church in Tanzania (BCT)
7. Salvation Army in Tanzania
8. Presbyterian of East Africa (PEA)
9. Bible Church in Tanzania
10. Church of God in Tanzania
11. Evangelistic Church in Tanzania
12. Kanisa la Upendo wa kristo Masihi (KIUMA)
Picha za matukio baadhi yaliyofanyika ndani na nje ya USCF TAKWIMU